s s s GBV Taarifa DOWNLOAD APP

Ifahamu GBV. Ripoti GBV.

GBV Taarifa ni kitumizi kinachosaidia ripoti ukatili moja kwa moja kwa njia ya ujumbe au sauti pamoja na kusaidia elimu ya sheria na haki kuhusiana masuala ya Ukatili wa Kijinsia kutoka kwa wadau na wataalamu.